Mtandao Mawaidha.info

 

 

 

Hijjah Na ‘Umrah

Maulamaa wote wamekubaliana kuwa Hijjah ni moja katika nguzo tano za Kiislamu, na ni fardhi ijulikanayo kuwa ni ya lazima. Atakayekanusha kuwajibika kwake huwa ni kafiri aliyertadi na kutoka katika dini ya Kiislamu.

Wanavyuoni wengi wanasema kuwa: Hijjah imefaradhishwa katika mwaka wa  Endelea...

   

Hija ya Mtume wa Mwenyezi Mungu (Swallah Llahu alayhi wa sallam)

Jabir (Radhiya Llahu anhu) anasema:

"Watu walipoarifiwa kuwa Mtume (Swallah Llahu alayhi wa sallam) atahiji mwaka huu, walianza kumiminka mjini Madina kwa wingi sana, kila mmoja akitamani aongozwe na Mtume (Swallah Llahu alayhi wa sallam) na afanye kama atakavyofanya. Endelea...

 

 

Fadhila Za Siku Kumi Za Dhul-Hijja

Inatupasa tumshukuru Allaah kwa neema Aliyotujaaliya ya kutuwekea miezi mitukufu, au siku tukufu au nyakati tukufu ambazo vitendo vyake vyema huwa na thawabu nyingi sana . Na hivi tunakaribia kabisa kuingia katika mwezi mwingine mtukufu wa Dhul-Hijja Katika mwezi huu, siku kumi za mwanzo ni siku bora kabisa katika dunia na zina fadhila kubwa kutokana na aya na hadithi zifuatazo:Endelea...

 

 

Niigawe vipi nyama ya Udh'hiyah?

Tunamshukuru Mwenyezi Mungu (Subhaanahu wa taala), kutujaalia uhai na fursa hii ya kuweza kuandika tukio hili ambalo limekuwa likisimuliwa kwa mtazamo wa uadui na chuki.  Kuzungumzia kisa cha Karbala kumekuwa ni mila na msingi mkubwa katika imani ya Kishia. Michezo ya kuigiza, makala na mashairi yanayoandikwa kuhusu Kifo cha Sayyidna Al-Husayn (Radhiya Llaahu ‘anhu)..Endelea

 


MIEZI MITUKUFU

Mwezi wa Dhul Hijja ni katika miezi iliyotukuzwa na Mwenyezi Mungu Subhanahu wa Taala anasema:

 “Hakika idadi ya miezi kwa Mwenyezi Mungu ni miezi kumi na mbili katika hukmu ya Mwenyezi Mungu tangu alipoumba mbingu na ardhi. Katika hiyo iko minne mitukufu (kabisa). Hiyo ndiyo Dini iliyo sawa. Basi msidhulumu nafsi zenu humo. Na piganeni na washirikina wote kama wao wanavyopigana nanyi nyote. Na jueni kuwa Mwenyezi Mungu yu pamoja na wachaMungu”.

Endelea

 

 

Mapishi

 
 
Uadilifu wa Masahaba

Wewe ni mgeni wa http://counter.digits.com/wc/-d/4/mawaidhakuzuru sahifa hizi

Wito kwa Shia wenye akili

Adabu na Tabia njema

Maulamaa wetu

Sunnah na Bid'ah

Nani Aliyekunja uso

Ukiyaonja Mapenzi (shairi)

Nasaha za Arusi - Shairi

 

 

 
 

Locations of visitors to this page