Mtandao Mawaidha.info

 

 

 

Kujifananisha Na Makafiri

Katika mambo yanayosikitisha sana wakati huu ni kule vijana wetu kuzama na kupotea kabisa kwa kuwaigiza makafiri katika kila nyanja za maisha yao.

Vijana wa Kiislamu, wengi wao wameipoteza tabia yao , wamekipoteza kitambulisho chao , kama kwamba wanaona haya kusema " Mimi ni Mwislamu"....Endelea

 

 

 

 

 

Upambaji wa Ibilisi

Siku ile alipofukuzwa Peponi na kutolewa katika rehma ya Mwenyezi Mungu, Ibilisi aliapa kuwa atazifisidi ibada za wanadamu na kuwakalia juu ya kila  njia iliyonyoka...Endelea

 

 

 

Mtume wa Mwenyezi Mungu (Swallah Llahu alayhi wa sallam) alikuwa mwanzo wa hutuba zake akitamka maneno haya: "Na shari ya mambo ni kuzuwa mepya (katika dini), na kila uzushi ni Bid’ah na kila Bid’ah ni upotovu na kila upotovu mahali pake ni Motoni..Endelea 

 

 

Makosa ndani ya Swala

Utulivu (Tumaaniyna) ni nguzo muhimu sana katika nguzo za Swala, na bila ya utulivu Swala haiwi kamilifu.
Siku moja Mtume wa Mwenyezi Mungu (Swalla Llahu alayhi wa sallam) alikuwa amekaa msikitini, akaingia mtu mmoja na kuswali. Baada ya kumaliza akainuka na kwenda kumsalimia...
Endelea

 

 

 

Mapishi

 
     
 
Uadilifu wa Masahaba

Wewe ni mgeni wa http://counter.digits.com/wc/-d/4/mawaidhakuzuru sahifa hizi

Wito kwa Shia wenye akili

Adabu na Tabia njema

Maulamaa wetu

Sunnah na Bid'ah

Nani Aliyekunja uso

Ukiyaonja Mapenzi (shairi)

Nasaha za Arusi - Shairi

 
 

Locations of visitors to this page